Sunday, August 09, 2015

Audio: Brand New song Future Jnl - KUBALI

Huu ni Wimbo MPYAAA Wa Msanii 

FUTURE JNL - (KUBALI )

@Futurejnl_official


Endelea Kusikiliza na Kusambaza Upendo kwa Marafiki Na Jamaa Kusikiliza
Muziki Mzuri Wa KiAfrica



Kwakusikiliza hii Ngoma Bofya #link hii chini

https://soundcloud.com/user54480161/future-jnl-kubali

Wednesday, July 29, 2015

Kinachoendelea Katika uchaguzi 2015/2016


Aliyekuwa mbunge wa kongwa na naibu spika wa bunge la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA   bw j. ndugai amemshushia kipigo mgombea mwenzake wakiwa jukwaan kujinadi na kusababisha kuanguka na kuzimia kisha kukimbizwa hospital ya wilaya ya kongwa.


















Huyu Ndie Mgombea alietiwa kipondo

Jionee video ya kipondo Hicho

Thursday, July 16, 2015

Shule kumi bora kidato cha sita 2015.


1.Feza boys secondary-Dar es salaam


2.Runzewe secondary-Geita


3.Feza girls secondary-Dar es salaam


4.Sumbawanga secondary-Rukwa


5.Ivumwe secondary-Mbeya


6.Mazinde Juu girls secondary-Tanga


7.Vwawa secondary-Mbeya


8.Kisimiri secondary-Arusha


9.Namabengo secondary-Ruvuma


10.Scolastica secondary-Kilimanjaro